Kuna toleo jipya la ukurasa huu ila liko kwenye Kiingereza tu hivi sasa. Tusaidie kutafsiri toleo jipya zaidi.
Ukurasa huu hautafsiriwi. Tumeuacha ukurasa huu kwa Kiingereza kwa sasa.
Kuweka hisa zako za ETH lazima utumie pedi ya uzinduzi ilioundwa kwa ajilio hio na fuata maelekezo. Kutuma ETH kwenye anwani ilioko kwenye ukurasa huu, haitakufanya wewe kuwa mwanahisa na italeta tokeo la muamala ulioshindwa. Zaidi juu ya kusimamisha hisa
Weka hisa kwa kutumia pedi ya uzinduziTunategemea kuwa na anwani batili nyingi na matapeli. Ili uwe salama, kagua anwani ya mkataba wa hisa unayotumia kuweka hisa dhidi ya anwani ilioko kwenye ukurasa huu. Tunashauri uikagua na vyanzo vingine vinavoaminika.