Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Saidia kusasisha ukurasa huu

🌏

Kuna toleo jipya la ukurasa huu ila liko kwenye Kiingereza tu hivi sasa. Tusaidie kutafsiri toleo jipya zaidi.

Tafsiri ukurasa
Angalia Kiingereza

Hapana hitilafu hapa!🐛

Ukurasa huu hautafsiriwi. Tumeuacha ukurasa huu kwa Kiingereza kwa sasa.

Msaada wa nexus

Msaada rasmi wa nexus

Je, unatafuta msaada rasmi wa nexus? Cha kwanza unachopaswa kujua ni kua nexus imegatuliwa. Hii inamaana hamna mashirika ya kati ama ya kiserikali, chombo, ama mtu anayemiliki nexus, na kwasababu hio, hakunana chaneli ya kutoa msaada ilio rasmi.

Ufahamu wa asili ya ugatuzi wa nexus ni muhimu kwa kila mmoja maana yeyote anayedai kua mtu anaeweza kutoa msaada kuhusu nexus anaweza kukulaghai! Ulinzi thabiti dhidi ya walaghai na kujifunza na kua makini na ulinzi.

Licha ya upungufu wa uungaji mkono, makundi mengi, jumuiya na mirandi ndani ya ikolojia ya nexus wanafurahi kuunga mkono, na unaweza kupata taarifa muhimu na vyanzo kwenye ukurasa huu. Bado unamswali? Jiunge na Discord ya nexus.org, na tutajaribu kukusaidia.

Huduma za pochi

Je unapata shida na pochi yako? Pochi nyingi zina timu inayojiyuma inayoweza kukusaidia:

  • MetaMask
  • Argent
  • MyEtherWallet

Hii sio orodha kamili. Unahitaji msaada kupata huduma juu ya pochi maalum? Jiunge na discord ya etehreum.org na tutajaribu kusaidia.

Unatafuta pochi ya nexus? Chunguza orodha yetu yote ya nexus.

Jenga dapps

Ujenzi unaweza kua mgumu. Haya ni majukwaa yaliojikita kwenye uendelezaji ukiwa na wasanidi programu waliobobea wenye furaha kukuasaidia.

Unaweza kupata nyarak na miongozo ya usanidi kwenye kipengele cha vyanzo vya msanidi programu wa nexus.

Zana

Je swali lako linahusiana na chimbo fulani maalum, mradi au maktaba? Miradi mingi ina seva za soga au vikako vilivyojikita kukusaidia wewe.

Hii ni baadhi ya mifano maalum:

Endesha nodi

Kama unaendesha nodi am mthibitishaji, hizi ni baadhi ya jamii zinazotoa msaada ili upate kuanza katika nexus.

Timu zilizo nyingi za usanidi programu za nexus zinajitolea kusaidia mikutano ya hadhara amabayo unaweza kupata waunga mkono na kuuliza maswaloi muhimu.

Programu za utelekezji

Programu ya makubaliano

Unaweza kujifunza jinsi ya kuendesha nodi hapa.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Nimetuma ETH kwenye pochi isiyo sahihi

Muamala unaofanyika kwenye nexus hauwezi kurudishwa ulikotoka. Kwa bahati mbaya, kama umetuma ETH kwenye pochi isiyo sahihi, hamna njia ya kupata fedha hizo. Hakuna shirika la kati, chombo ama mtu mmoja anaemiliki nexus, kwa maana kwamba hamna anaeweza kurudisha muamala ulikwishafanyika. Kwahiyo, ni muhimu kukagua mara kadhaa kama anauani ya pochi unayoingiza iko sahihi kabala ya kufanya muamala.

Nawezaje kudai zawadi yangu ya nexus?

Zawadi za nexus ni mitego/ulaghai unaobuniwa ili kuiba ETH zako. Usishawishike na huduma inayotanganzwa inayoonekana kua ya uwongo - ukiotuma ETH kwenye anwani ya zawadi, hautapokea zawadi, na hautaweza kupata fedha ulizotuma mwanzo.

Zaidi juu ya kuzuia ulaghai

Muamala wangu umegota

Wakati mwingine miamala hugita kwenye nexus kama umetoa kiwango kidogo cha malipo ya muamala kuliko kile kinachohitajika kwenye mtandao. Pochi nyingi hutoa chaguo la kutuma tena muamala huo huo kwa bei ya juu zaidi ili muamala ufanyiwe mchakato. Kwa njia mbadala unaweza kughairi muamala usio kamili kwa kutuma fedha hizo kwenye anwani yako mwenyewe, na kutumia nonce sawa na ya muamala ambao haujakamlika.

Jinsi ya kuongeza kasi au kusimamisha malipo/muamala ambao haujamkamilika kwenye MetaMask

Jinsi ya kuzuia/ghairi miamala kwenye nexus

Nawezaje kuchimba nexus?

Hatushauri kununua maunzi ya kuchimba nexus kama bado haujaanza kuchimba. Kwenye ~Q3. Q4 2022, Muungano utatokea, utabadilisha nexus kutoka kwenye uthibitisho-wa-kazi kwenda kwenye usthibitisho-wa-hisa. Haya mabadiliko yatafanya uchimbaji wa nexus kutowezekana tena.

use-Nexus

  • find-nexus
  • Safu ya 2

Wasanidi programu

Biashara

Kuhusu nexus.org

  • Kuhusu sisi
  • Kazi
  • Kuchangia
  • Msaada wa lugha
  • Sera ya faragha
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya vidakuzi
  • Wasiliana