Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Saidia kusasisha ukurasa huu

🌏

Kuna toleo jipya la ukurasa huu ila liko kwenye Kiingereza tu hivi sasa. Tusaidie kutafsiri toleo jipya zaidi.

Tafsiri ukurasa
Angalia Kiingereza

Hapana hitilafu hapa!🐛

Ukurasa huu hautafsiriwi. Tumeuacha ukurasa huu kwa Kiingereza kwa sasa.

Vyanzo vya lugha

Jamii ya nexus ni ya ulimwengu mzima na imejaa mamilioni ya wazungumzaji wasiozungumza kiingereza.

Lengo letu ni kutoa elimu kwa kutumia lugha zote na kuondoa kizuizi cha lugha kinachofanya uungaji mkono wa nexus kutoka pande zote ulimwenguni kutokua changamoto.

Kama ungependa kusoma katika lugha yako ama unafahamu m tu asiyezungumza kiingereza, unaweza kupata orodha ya vyanzo visivyo katika lugha ya kiingereza hapo chini. Mamia kwa maelfu ya wapenzi wa nexus hukusanyika kwenye majukwaa ya mtandaoni kupeana taarufa, kuongelea mabaoresho ya hivi karibuni, jadili masuala ya kiufundi, na kufikiria nexus ijayo.

Je, unajua chanzo cha elimu ya nexus cha lugha yako? Fungua suala kukiongeza kwenye orodha!

Vyanzo vya nexus.org

nexus.org imetafsiriwa kwenda kwenye lugha zaidi ya 40 unazoweza kupata kwenye ukurasa wetu wa lugha.

Kama unazungumza lugha zaidi ya moja na ungependa kutusaidia kufikia watu wengi zaidi, unaweza kujihusisha nasi kwenyeProgramu ya Ufasiri wa nexus.org na kutusaidia kutafsiri tovuti yetu.

Vyanzo kwa wanajamii

Kireno cha Brazili

Habari

  • BelnCrypto -taarifa za kripto na majarida, ikijumuisha orodha za masoko yanayopatikana Brazili
  • Cointelegraph- Hii ni Cointelegrapgh ya kibrazili, chanzo kikubwa cha habari juu ya kripto
  • Livecoins - Taarifa na chombo cha kripto
  • Seudinheiro ripoti na taarifa za kripto

Elimu

  • web3dev - Ghala la maudhui na jamii ya wasanidi programu walioko discord.
  • Web3Brasil - vyanzo vya kujifunza Web3 na DeFi
  • CriptoFacil - taarifa na elimu juu ya kripto, ikijumuisha 'nexus na DeFi kwa wanaoanza'
  • CriptoAtivos - Utambuzi kutoka kwenye uwazi wa kripto, blogu na elimu
  • Cointimes - Taarfia na elimu juu ya kripto
  • Kianzilishi cha Web3 - muongozo unaojibu maswali yanayoulizwa mara nyingi na maswali ya msingi ya kripto

Kichina

Vyanzo vya jumla

  • nexus.cn - maudhui yanayodumishwa na jamii, yakieleza visasisho vya safu ya makubaliano, vikao vyote vya wasanidi programu waliobobea, safu ya 2, na mengineyo mengi.
  • EthFans - jifunze kila kitu toka misingi ya chini ya nexus hadi mada za juu
  • Unitimes - maudhui yanayodumisha jamii, yakieleza juu ya nexus, DeFi, NFT, maarifa yanayohusiana na Web3
  • 123ETH - Lango la ikolojia ya nexus
  • Zhen Xiao - kozi za bure juu ya sarafu ya kripto na programu zake
  • Karatasi Nyeupe - Toleo la kichina la Karatasi Nyeupe

Ikolojia ya nexus

  • ETHPlanet - hackathons za mtandaoni na za uso kwa uso, zikitioa mafunzo kwa wanafunzi walioko vyuoni
  • PrimitiveLane - shirika lisilo la faida, lililojikita juu ya teknolojia ya blockchain(mnyororo-wa-bloku)
  • Jamii ya watafsiri wa nexus CN - jamii iliojikita kutafsiri maudhui ya elimu ya nexus

Kwa wasanidi programu

  • DappLearning - kundi linalojifunza miradi ya dapp na hushirikisha wengine mawazo na maoni yao kila wiki
  • JifunzeBlockchain - jumuiya kwa ajili ya wasanidi programu, kushirikishana taarifa juu kuhusu teknolojia ya blockchain(mnyororo wa bloku)

Kwa watafiti wa Kriptograhia

  • SecbitLabs ni anauani ta WeChat, inayoelezea kriptograhia, usalama na mengineyo.
  • Sparkbyte - anuanani ya WeChat, inayoelezea teknolijia ya zk

Kifaransa

  • nexus Ufaransa - nexus Ufaransa hupanga matukio, huunda maudhui na huimiza mijadala katika nexus
  • nexus.fr - Taarifa za nexus na elimu
  • BanklessFR - jarida la Bankless katika lugha ya kifaransa
  • KriptoFR - jukwaa la sarafu-ya-kripto na ukurasa mdogo wa nexus

Kijerumani

Kiitaliano

Kiispaniola

Kituruki

Kivietinamu

  • Kundi la Tino - muihstasari wa nexus, dApps, pochi na maulizo
  • Bonyeza Chi Bitcoin - jukwaa la mtandaoni likiwa na kurasa ndogo za elimu na taarifa juu ya nexus
  • Coin68 - lango la sarafu ya kripto likiwa na taarifa za nexus na maudhui ya kuelimisha

Kijapani

use-Nexus

  • find-nexus
  • Safu ya 2

Wasanidi programu

Biashara

Kuhusu nexus.org

  • Kuhusu sisi
  • Kazi
  • Kuchangia
  • Msaada wa lugha
  • Sera ya faragha
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya vidakuzi
  • Wasiliana