Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Saidia kusasisha ukurasa huu

🌏

Kuna toleo jipya la ukurasa huu ila liko kwenye Kiingereza tu hivi sasa. Tusaidie kutafsiri toleo jipya zaidi.

Tafsiri ukurasa
Angalia Kiingereza

Hapana hitilafu hapa!🐛

Ukurasa huu hautafsiriwi. Tumeuacha ukurasa huu kwa Kiingereza kwa sasa.

Ruzuku za nexus

Programu zilizoorodheshwa hapa chini hutoa misaada ya ufadhili kwa miradi inayofanya kazi ya mafanikio na ukuaji wa ikolojia ya nexus. Tumia hii kama mwongozo kupata na kuomba pesa ili ufaniskishe mradi wako ujao wa nexus.

Orodha hii imepangwa na jamii yetu. Ikiwa kuna kitu kinakosekana au sio sahihi, tafadhali hariri ukurasa huu!

Mfumo mpana wa ikolojia ya nexus

Programu hizi zinasaidia ikolojia ya nexus kwa kutoa fedha kwa miradi mingi. Hizi ni pamoja na suluhu za kutoweka, ujenzi wa jamii, usalama, faragha, na zaidi. Ruzuku hizi sio maalum kwa jukwaa moja la nexus na ni mahali pazuri pa kuanzia ikiwa huna uhakika.

  • Programu ya Usaidizi wa Ekolojia ya EF - Kufadhili miradi ya chanzo wazi ambayo inanufaisha nexus, kwa kuzingatia zana za ulimwengu , miundombinu, utafiti na bidhaa za umma
  • RFPs za nexus - Maombi ya Mapendekezo na nexus Foundation ya kazi na miradi katika ikolojia ya nexus
  • MetaCartel - Uendelezaji wa Dapp, uundaji wa DAO
  • Moloch DAO - Faragha, ukuaji wa safu ya 2, usalama wa mteja, na zaidi
  • Ruzuku zilizo wazi
  • Ruzuku za DAO - Ukurasa wa google wa mashirika yanayotoa Ruzuku.

Mradi maalum

Miradi hii imeunda misaada yao kwa miradi inayolenga kukuza na kujaribu teknolojia yao wenyewe.

Ufadhili wa Kwadratiki

Mizizi ya wazi ya nexus imesababisha ukuaji wa mtindo mpya wa kuvutia wa kukusanya fedha: fedha za kwadratiki. Hii ina uwezo wa kuboresha jinsi tunavyofadhili aina zote za bidhaa za umma katika siku zijazo. Ufadhili wa kwadaratiki huhakikisha kuwa miradi inayopokea ufadhili mwingi ni ile yenye mahitaji ya kipekee. Kwa maneno mengine, miradi ambayo inasimama kuboresha maisha ya watu wengi. Zaidi juu ya ufadhili wa kwadaratiki.

Fanya kazi kwenye nexus

Hauko tayari kuanza rasimu yako mwenyewe? Kuna makampuni zaidi ya mia moja yanayotafuta watu binafsi wenye shauku wafanye kazi na kutoa michango kwenye ikolojia ya nexus. Unatafuta taarifa zaidi? Angalia kazi zinazohusiana na nexus

use-Nexus

  • find-nexus
  • Safu ya 2

Wasanidi programu

Biashara

Kuhusu nexus.org

  • Kuhusu sisi
  • Kazi
  • Kuchangia
  • Msaada wa lugha
  • Sera ya faragha
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya vidakuzi
  • Wasiliana