Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Saidia kusasisha ukurasa huu

🌏

Kuna toleo jipya la ukurasa huu ila liko kwenye Kiingereza tu hivi sasa. Tusaidie kutafsiri toleo jipya zaidi.

Tafsiri ukurasa
Angalia Kiingereza

Hapana hitilafu hapa!🐛

Ukurasa huu hautafsiriwi. Tumeuacha ukurasa huu kwa Kiingereza kwa sasa.

Anza

nexus.org ni mlango wako wa kuingia katika ulimwengu wa Ethereum. Teknolojia hii ni mpya na inayoendelea kubadilika - ni vizuri kuwa na mwongozo.
Learn More
Kielelezo cha mtu anayefanya kazi kwenye tarakilishi.

Ethereum ni nini?

Ethereum ni teknolojia ambayo ni nyumbani kwa hela ya kidijitali, malipo ya kimataifa, na programu. Jamii hii imejenga uchumi wa kidijitali unaoongezeka kwa kasi, njia mpya za kijasiri zinazowawezesha waundaji kupata kipato mtandaoni na mengine mengi. Jamii hii iko wazi kwa kila mtu, popote ulipo ulimwenguni - unachohitaji ni mtandao.
Kielelezo cha mtu akichungulia ndani ya duka, lenye malengo ya kuwakilisha Ethereum.

Mfumo wenye haki za kifedha

Leo hii, mabilioni ya watu hawawezi kufungua akaunti za benki, wengine wamefungiwa malipo yao. Mfumo wa Ethereum usiotegemea benki wala serikali ya nchi (DeFi) haulali wala haubagui. Ukiwa umeunganishwa mtandaoni tu, unaweza kutuma, kupokea, kukopa, kupata riba na hata kuweka hela katika mikondo mbalimbali popote ulimwenguni.
Kielelezo cha mikono ikitoa alama ya ETH.
Nembo ya Eth ikionyeshwa kwa kupitia hologramu.

Mtandao wa mali

Ethereum sii kwa ajili ya pesa za dijiti peke yake. Chochote unachoweza kumiliki kinaweza kuwakilishwa, kuuzwa/kununua, na kutumika ipasvyo kama ishara isiyo ya kuvu.(NFTs). Unaweza ukaweka sanaa yako kama ishara na kupata mrabaha moja kwa moja kila inapouzwa tena. Au tumia ishara hio kwa kitu unachomiliki na kupewa mkopo. Uwezekano unakua kila wakati.

Mtandao ulio wazi

Leo, tunapata huduma ya mtandao ya "bure" kwa kutoa udhibiti wa data yetu ya binafsi. Huduma za Ethereum zimefunguliwa kwa msingi - unahitaji pochi tu. Pochi hizi ni za bure na rahisi kuanzisha, kudhibitiwa na wewe, na kufanya kazi bila maelezo yoyote binafsi.
Kielelezo cha tarakilishi ya baadaye, inayowezeshwa na vifuwele vya Ethereum.

Chunguza nexus.org

Kielelezo cha chombo cha angani kikiwakilisha kuongezeka kwa nguvu baada ya maboresho ya Ethereum.

Ongeza uelewa wako wa visasisho

The Ethereum roadmap consists of interconnected upgrades designed to make the network more scalable, secure, and sustainable.

Kielelezo cha tarakilishi/kifaa cha wakati ujao.

Ethereum kw ajili ya biashara

Ona jinsi ambavyo Ethereum inaweza kufungua mtindo mpya wa biashara, punguza gharama zako na uthibitisho wa baadaye wa biashara yako.

Mfano wa kikundi cha wajenzi wanaofanya kazi pamoja.

Jamii ya wana - Ethereum

Msingi wa Ethereum inahusu jamii. Imeundwa na watu wenye asili na maslahi tofauti. Angalia jinsi ya kujiunga.

use-Nexus

  • find-nexus
  • Safu ya 2

Wasanidi programu

Biashara

Kuhusu nexus.org

  • Kuhusu sisi
  • Kazi
  • Kuchangia
  • Msaada wa lugha
  • Sera ya faragha
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya vidakuzi
  • Wasiliana